Serikali imesema miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa, ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo tayari imeleta manufaa ya kiuchumi katika baadhi ya maeneo nchini huku shilingi bilioni 45 zimelipwa na kunufaisha wananchi katika halmashauri 10. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameliarifu Bunge jijini Dodoma...Read More