July 15, 2025

Day

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Biashara ya Kaboni kutoka nchini Korea ambao wameonesha nia ya kuja kuwekeza nchini katika biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika Dar es Salaam, Julai 15, 2025 ambapo Waziri Masauni amesema ujio wa wadau...
Read More