Tanzania inatarajia kushiriki na kuongoza ushiriki wa nchi za Afrika katika Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika jijini Belem, nchini Brazil, kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025 ambapo Ujumbe wa Tanzania unatarajiwa kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katibu Mkuu...Read More