October 7, 2025

Day

Tanzania imeendelea na Maandalizi kuelekea Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika jijini Belem, Brazil Novemba 10 hadi 21, 2025. Akizungumza katika Mkutano wa Kitaifa wa Kimkakati uliofanyika Dar es Salaam Oktoba 7,2025 Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter...
Read More