Tanzania imeandaa kwa mara ya kwanza Mkutano wa Kimataifa unaojadili matumizi ya teknolojia ya Akili mnemba (AI) katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam Oktoba 8,2025 Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Prof. Peter Msoffe amesema teknolojia ya akili mnemba...Read More