Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea na dhamira yake ya kushiriki katika kutekeleza Ajenda ya Maendeleo ya Afrika 2063 kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sekta mbalimbali kama vile Miundombinu ya Usafirishaji, Nishati, Kilimo, Viwanda, TEHAMA, Uhifadhi wa Mazingira pamoja na maendeleo ya Rasilimali watu. Makamu...Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekielekeza Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) mkoani Morogoro kusaidia taifa kutokana na miradi mbalimbali ambayo mataifa ya nje yanakuja kuwekeza nchini kupitia Biashara ya Kaboni. Amesema NCMC itumie wataalamu wake kwa kadili inavyoweza kutoa elimu kwa...Read More