Tanzania inatarajia kushiriki na kuongoza ushiriki wa nchi za Afrika katika Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika jijini Belem, nchini Brazil, kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025 ambapo Ujumbe wa Tanzania unatarajiwa kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katibu Mkuu...Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Biashara ya Kaboni kutoka nchini Korea ambao wameonesha nia ya kuja kuwekeza nchini katika biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika Dar es Salaam, Julai 15, 2025 ambapo Waziri Masauni amesema ujio wa wadau...Read More