Serikali imesema jumla ya taasisi 551 zimeanza matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ikiwa ni katika jitihada za kuunga mkono Serikali kupunguza ukataji miti na kulinda afya za wananchi. Hatua hiyo, ni katika utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi za Umma na […]