Blog

Mkutano wa COP29 wailetea neema Tanzania

Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea manufaa Tanzania hususan katika hifadhi ya mazingira. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti […]

Tanzania Kituo bora cha Mawasiliano ya Dharura

Tanzania imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee […]