Blog

Waziri Mkuu: Suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya taifa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya Kitaifa na jukumu la kila mmoja kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa. “Tunapokwenda kuhifadhi mazingira lazima tuanze na ngazi ya familia na tunapopanda juu tupanue wigo hadi kwa wadau mbalimbali. Viongozi wa dini mnayo nafasi […]

Makamu wa Rais ataka majibu ya changamoto za kimazingira nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Mkutano Maalum wa Mazingira kuainisha namna bora ya kufikia matokeo tarajiwa kwa kutafuta majibu ya changamoto za kimazingira zilizopo nchini hususani katika changamoto ya uimarishaji wa mfumo wa usimamizi wa mazingira. Makamu wa Rais ametoa wito huo […]