Blog

Waziri Kijaji ahimiza watendaji kuchapa kazi kwa bidii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amehimiza watendaji wa Ofisi hiyo kuendelea kuchapa kazi kwa bidii ili kufikia malengo yaliyowekwa katika hifadhi endelevu ya mazingira. Amesema Ofisi ya Makamu wa Rais ni pana na inagusa moja kwa moja maisha ya kila siku ya wananchi hivyo wanahitaji […]

Makamu wa Rais awaasa watumishi kusimamia programu za mazingira

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kufuatilia na kusimamia vema utekelezaji wa Programu mbalimbali za mazingira zilizoandaliwa ili kufikia azma ya kuhifadhi na kulinda mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza […]