Paulo Lyimo

By

Tanzania imeandaa kwa mara ya kwanza Mkutano wa Kimataifa unaojadili matumizi ya teknolojia ya Akili mnemba (AI) katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam Oktoba 8,2025 Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Prof. Peter Msoffe amesema teknolojia ya akili mnemba...
Read More
Tanzania imeendelea na Maandalizi kuelekea Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika jijini Belem, Brazil Novemba 10 hadi 21, 2025. Akizungumza katika Mkutano wa Kitaifa wa Kimkakati uliofanyika Dar es Salaam Oktoba 7,2025 Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter...
Read More
1 2 3 368