Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo (CBCC) kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Amesema changamoto ya mabadiliko ya tabianchi ipo kwa maana hiyo tunatakiwa kuchukua hatua kuona dunia inakuwa salama kutokana na changamoto...Read More
Mikoa minne ya Tanzania Bara inatarajia kunufaika na mradi wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao utasaidia katika kupunguza matumzi ya kuni na mkaa yanayotokana na ukataji wa miti. Hayo yamebainishwa wakati wa kikao kazi kinacholenga kuanzisha mradi wa matumizi ya nisharti safi ya kupikia shuleni kilichoongozwa na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu...Read More