Tanzania imeahidiwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kuungwa mkono katika vipaumbele vya mazingira ikiwemo agenda ya nishati safi ya kupikia. Hayo yamejiri wakati wa mazungumzo kati ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amekutana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNEP Bi. Elizabeth Mrema Julai 11,...Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amezitaka taasisi za elimu ya juu nchini kuandaa na kuzalisha wataalamu watakaosaidia kubuni na kubaini fursa zitokanazo na uhifadhi wa mazingira ikiwemo biashara ya kaboni. Dkt. Kijaji amesema hayo leo Julai 9, 2024 mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya...Read More