Wilaya ya Kilosa inatarajia kuvuna mapato ya Sh1.17 bilioni kama gawio baada ya kuhifadhi misitu iliyowezasha uvunaji wa tani za ujazo 545,433 za hewa ya ukaa (kaboni) katika misitu ya vijiji vyake katika kipindi cha 2023 mpaka February 2024. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa Wizara ya Muungano na Mazingira, Tanzania inalenga kuingiza dola za Marekani […]