Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amezindua Mradi wa Suluhisha ‘RESOLVE’ ambao unalenga katika utunzaji wa vyanzo vya maji, misitu na maeneo yanayohusika na shughuli za kilimo. Mradi huo unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Mazingira utatekeleza katika mikoa ya Morogoro na Iringa […]